Mbuzi Media

Mbuzi media: Is for all sports and entertainment news, women's soccer, boxing and other sports.

Articles, stories, narratives and reliable news. Not to mention the drama will be available here.

Be the first to get the best every day. Together we communicate and entertain each other.


MBUZI MEDIA ni kwa ajili ya Habari zote za michezo na burudani, soka la wanawake, ngumi na michezo mingine.

Makala, stori, simulizi na Habari za uhakika kabisa. Bila kusahau na maigizo yatapatikana hapa.

Kuwa mtu wa kwanza kupata kilichobora siku zote. Pamoja tunahabarishana na kuburudishana.