Azania Front Cathedral


Shalom!
Karibu katika ukurasa wetu wa YouTube. Karibu uwe sehemu ya wale wengi wanaobarikiwa na mahubiri yanafundishwa kila siku za wiki kupitia Ibada zinazoendelea katika Madhabahu hii ya KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL.

▶️ RATIBA ZETU ZA IBADA;

[ JUMATATU - IJUMAA ]
1. Morning Glory 12:00 - 01:00 Asubuhi
2. Lunch Hour 07:00 - 07:30 Mchana
3. Maombi na Maombezi 11: 30 - 01:00 Jioni

[ JUMAPILI]
1. Ibada ya Kwanza [ Kiswahili ] 01:00 - 03:00 Asubuhi
2. Ibada ya Pili [ Kingereza ] 03:00 - 04:30 Asubuhi
3. Ibada ya Tatu [ Kiswahili ] 04:30 - 06:00 Asubuhi