KWAYA YA MT.THERESIA WA MTOTO YESU - RADA

Kwaya ya Mt.Theresia wa Mtoto Yesu, ni Kwaya ya Kanisa Katoliki,Parokia Teule ya Mt.Theresia Benedikta wa Msalaba Rada,Jimbo Katoliki la DSM.