MSHINDO TV ONLINE

Mshindo Tv ni Official Channel ya Youtube iliyosajiliwa na TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR kwa Ajili ya Habari za burudani,Wasanii , Utamaduni, Utalii, Michezo na Matukio Mbali mbali ya Kijamii. Channel hii ina endeshwa na Kampuni ya Bin Assad Group Zanzibar:

SUBSCRIBE Kisha Bonyeza ALAMA ya KENGELE ili uwe wa kwanza kuhabarika na kuburudika...
"MSHINDO TV “Burudani kwanza ni Nyumbani''

instagram: - @MSHINDOTV
Facebook: - @MSHINDOTV
Contact us: - +255 718 109 106