HARRISON UWATA GIRLS
Harrison Uwata Girls' Secondary School ni shule inayomilikiwa na Uamsho Wa Wakristo Tanzania (UWATA).
Shule inapatikana Jijini Mbeya Eneo La Iwambi mita 500 kutoka Barabara Kuu ya kuelekea Zambia.
Inapokea wanafunzi wa dini zote,kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Michepuo inayotolewa kwa sekondari ya chini (O LEVEL) ni Sayansi,Sayansi ya Jamii,Kompyuta na Lugha.
Michepuo inayotolewa Kwa sekondari ya Juu (A LEVEL) ni PCM,PCB,CBG,EGM,HGE,HGL na HKL.