KKKT - DMP Usharika Wa Mbezi Beach

KKKT MBEZI BEACH NI CHANNEL YA USHARIKA WA KKKT MBEZI BEACH, mojawapo ya SHARIKA za KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA, DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI, JIMBO LA KASKAZINI.

Hii ni njia mojawapo tunayotumia katika kuwafikia washarika na watu wengine, ndani na Nje ya Nchi kwa kufuatilia na Kushiriki Ibada zetu wakiwa mbali.

RATIBA ZETU

Kila Jumapili :
• Ibada ya kwanza ya Kiswahili ni kuanzia saa 1 kamili asubuhi (7 :00 AM),
• Ibada ya pili ya Kiswahili ni kuanzia saa 4 kamili asubuhi (10 :00 am) na
• Ibada ya tatu ya Kingereza ni kuanzia saa 8 kamili mchana (14 :00 Pm).

Katikati ya wiki tuna vipindi vya
- IBADA YA WANAWAKE (Kila Jumatatu)
- DARASA LA WATUMISHI (kila Jumanne)
- MAOMBI NA MAOMBEZI (kila Ijumaa).

Ibada na vipindi vyote vinarushwa mubashara kupitia channel hii.

Toa sadaka yako kupitia MBEZI BEACH LUTHERAN HUDUMA". MAENDELEO BANK 014154966021, CRDB 0150080095503, M-PESA+255769217618.