Magreth James
Magreth James ni mtumishi wa Mungu kwa njia ya uimbaji kutokea mkoa wa Kilimanjaro Tanzania.
Ni mzaliwa wa familia iliyokuwa katika misingi mathubuti ya kiroho iliyochangia kwa kiasi kikubwa Binti huyu kuutambua wito uliopo ndani yake na wakati wa kutumika kwake.
Magreth ameanza safari yake uimbaji mwaka 2019 na tokea wakati huo Mungu amekuwa akimtumia kuwabariki watu wake kupitia mashairi na sauti yake yenye Nguvu za Mungu.
Magreth ana lengo kubwa la kumtumikia Mungu kwa Roho na kweli ikiwa ni pamoja na kuendelea kuupa mziki wa injili Tanzania heshima na utukufu kwa Mungu.
Magreth James - Unanijali (Official Audio)
Magreth James - Unizingire (Official Audio)
Magreth James - Imbeni (Official Music Video)
Magreth James - Imbeni (Official Audio)
MAGRETH JAMES- NIKUKARIBIE (Official Video)
MAGRETH JAMES - NINA UHAKIKA (Official Music Video)
Magreth James - NIKUKARIBIE (OFFICIAL MUSIC AUDIO)
Magreth James - Nina Uhakika(Official Music Audio)
Magreth James (NIMEKUONA BWANA OFFICIAL VIDEO)
Magreth James - Nimekuona Bwana (official Music Audio)
Magreth James - UNGEHESABU (Official Music Video)
MAGRETH JAMES - UNGEHESABU (OFFICIAL MUSIC AUDIO)
MAGRETH JAMES (UNIFUNDISHE OFFICIAL MUSIC VIDEO)
MAGRETH JAMES # (UNIFUNDISHE OFFICIAL MUSIC AUDIO
Magreth James (UNAWEZA OFFICIAL VIDEO)
MAGRETH JAMES #UNAWEZA (Official Music Audio)
January 3, 2021
Magrethjames#neno la faraja Ep2,,,
Magrethjames#Neno la faraja2020
##magreth james interview na Masanja tv
10 min. Exclusive interview Magreth James & Praise Power Radio
Magreth James - UMENIKUMBUKA (Official Audio)
Magreth James - JINA LANGU (Official Video)
Magreth James - WEWE NI NJIA (Official Video)
Magreth James - YESU NI NJIA (Official Audio)