MANYONGA FILMS

Karibu kwenye MANYONGA Films – 0689716289 - Nyumba ya Filamu, Vichekesho, Tamthilia na Hadithi za Kusisimua!
Tunawaletea burudani safi yenye mafunzo, ucheshi wa maisha ya kila siku, pamoja na simulizi zinazogusa moyo. Kila video ni hadithi, kila hadithi ni ujumbe!

Jisajili ili usipitwe na:

Filamu fupi zenye mafunzo

Vichekesho vya kusisimua

Tamthilia za kijamii

Hadithi fupi zenye maadili


Burudika, Jifunze, Shirikisha Wenzio.
MANYONGA Films – Tunagusa Mioyo Kupitia Hadithi.