Kikosi cha Valantia Zanzibar. KVZ

KVZ Online TV – Sauti ya Uzalendo!

KVZ Online TV ni chombo cha kidigitali

kinachowakilisha:

Matukio rasmi ya KVZ

Mafunzo ya kijeshi na uongozi

Maendeleo ya kikosi na miradi ya kijamii

Taarifa muhimu za viongozi wakuu wa serikali

Uadilifu | Nidhamu | Uzalendo
Jiunge nasi kwa habari sahihi, video halisi na sauti ya KVZ inayowafikia wananchi.

Subscribe upate taarifa mpya kila wiki!