SHEBY KINANDA CLASSIC BAND

Sheby Kinanda Classic Band ni kundi la muziki wa Taarab kutoka Zanzibar 🇹🇿
Linaloongoza kwa ubunifu wa taarab mpya na za kisasa.
Tunatengeneza muziki wa live band, nyimbo za mahusiano, na maonyesho ya moja kwa moja kwenye harusi na matamasha.

🎵 Jiunge nasi kwa taarab kali kila wiki!
📲 Instagram: @shebykinanda
📘 Facebook: Sheby Kinanda Classic Band
Tictok sheby Kinanda classic band
📩 Wasiliana: [email protected]

#ShebyKinanda #Taarab #ZanzibarMusic