AMANI KWAYA FPCT UYANKINDI SGD 2017
Vaeni silaha zote mpate kuzipinga Hila za shetani.
Amani kwaya ni Kwaya iliyoanzishwa mwaka 2017 Mkoani Singida kanisa la Fpct tunapatikana Singida mjini kanisa la Fpct Unyankindi,
Kwa mawasiliano zaidi Simu number 0756717689