Rev. Godlisten Nkya Tv

Enendeni ulimwenguni kote mkawafanye Mataifa kuwa wanafunzi wangu.

Chanel hi ni maalumu kwa ajili ya Habari za Ufalme wa Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Subscribe ili upate Mafundisho ya Neno la Mungu kila mara tunapopost
Unaweza kuwashirikisha ndugu na marafiki zako pia

Amani ya Kristo iwe pamoja nawe. Amen