Huruma Online TV

RADIO HURUMA

'103.7 MHz Radio Huruma FM, Faraja kwa Jamii'

Radio Huruma ni kituo kinachomilikiwa na kuendeshwa na kanisa Katoliki jimbo la Tanga.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limetumia njia mbalimbali kuweza kuwafikia waumini wake na
wote wenye mapenzi mema. Lengo kuu likiwa ni kuwaelimisha watu wake mambo mbalimbali yahusuyo
maisha yao. Kutoa elimu ya jinsi ya kupambana na umasikini na kuinua hali zao za maisha.
Pamoja na hayo Radio hii hutumika kutoa burudani ya nyimbo za dini na za kawaida, pia
kumtangaza KRISTO aliye Bwana na Mwalimu wetu.
contact us;
+255734242811
Email: [email protected]
Website: www.radiohuruma.co.tz