Oasis TV

OASIS TV Ni Chaneli Ya YouTube Inayoangazia Katika Kukusanya Makala Za Dini Ya Kiislam Za Kiswahili Ikiwemo Khutba, Mihadhara, Nasaha Na Darsa Kutoka Kwa Wanazuoni MbaliMbali Nchini.

Tunachokuomba Ni Kufatilia Kwa Kuangalia(Watch), Penda(Like), Kusambaza Kwa Wengi(Share) Na Toa Maoni (Comment) Katika Makala Zinazochapishwa.

Bila Kusahau Kujisajili(SUBSCRIBE), Kufatilia(FOLLOW), Kujiunga(JOIN) Kupitia Mitandao Ya Kijamii YouTube, InstaGram, FaceBook, Twitter Na WhatsApp.

OASIS TV
Elimu Ni Uongovu