FPCT Kitangiri Mwanza

FPCT Kitangiri ni kanisa la kipentecoste linalohubiri habari za YESU KRISTO.
Tarajia kukutana na Mungu katika maisha yako unaposhiriki ibada hii mtandaoni au utakapofika kanisani.
Kufika kanisani bonyeza hapa https://goo.gl/maps/spES8PKcAGATqXuq6