KMC Donge Tanga

Media hii inamilikiwa na kwaya ya Mt.cesilia kutoka parokia ya Mt.Yohane Mbatizaji Donge jimbo la Tanga. Hiki ni kitengo cha habari na matukio cha kwaya ambacho kinarusha Nyimbo na matukio mbalimbali yanayo fanyika ndani kwaya ,kama vile nyimbo za dominika na matukio mengine kama ziara ya kwaya ,sherehe na live performance, bila kusahau nyimbo kutoka kwenye albamu .TUNAOMBA USHIRIKIANO WAKO MHUHIMU SANA WA LIKE NA SUBSCRIBE
TUPATE PIA KUPITIA(follow us)
1. #Facebook
mtakatifu cesilia donge tanga
2. #Instagram
kmc donge tanga
3.email
[email protected]
4. CONTACT
0676275087, +255626046083,0625599956