Soma kwanza Tv

TET SOMA KWANZA TV
Ni kituo cha televisheni kinachojihusisha na utayarishaji wa maudhui ya kielimu kuanzia elimu ya msingi hadi Sekondari kwa kufuata Mtaala ulioboreshwa, televisheni hii inapatikana kupitia kisimbuzi cha antena cha Star times, channel No. 105,
BAMM Building, Salmin Amur Street, Makumbusho. Dar es salaam,Tanzania.