Muungano Christian Choir

Channel Hii ni mali ya Kwaya ya Muungano Christian Choir, Muungano Christian Choir ni kwaya ya kiinjilisti katika kanisa la Waadventista wasabato. Makao makuu ya kwaya hii yapo Mwamanyili Nassa wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, ambayo ilianzishwa rasmi tarehe 21/01/1971. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa hii namba +255620399935