VOA Swahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
#voaswahili
Voice of America - Swahili
330 Independence Ave., SW
Washington, D.C. 20237
Email: [email protected]
Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
WHO yapeleka dawa za ukoma Nigeria
Wasichana Wakimasai wajifunza kinsi ya kujihami na unyanyasaji wa Kijinsia
Trump asema Ukraine iko tayari kurejea kwenye meza ya mazungumzo
Akili mnembainavyotumika katika magari
Wakulima Sudan Kusini wafufua kilimo cha kahawa kwa kutumia mbinu ya Excelsa
Israel yazuia misaada kwenda Gaza
Trump asifu hatua za awali za utawala wake alipohutubia Bunge la Marekani
Misri kutengeneza Insulini
Mabadiliko ya hali ya hewa yaathiri uvuvi Tanzania
IGAD waweka mikakati kukabiliana na majanga
Rais Trump kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge
ZULIA JEKUNDU: Halle Barry akerwa kuwa msanii pekee mweusi wa kike kushinda Oscar mpaka sasa.
JARIDA LA WIKIENDI: Mkutano wa RSF wazusha hisia kali na maswali
Wakazi wa mji wa Sake huko DRC waliporejea katika makazi yao
Trump akutana na waziri mkuu wa Uingereza
Raia wa Russia wana matarajio makubwa kwa mkutano wa Trump na Putin
MAISHA NA AFYA: Tunaangazia vinyama vidogo au visunzua vinavyojitokeza kwenye ngozi ya binadamu.
Maelfu ya watu wakusanyika miji mbalimbali kushinikiza haki ifanyike
Wacheza kamari waratibiwa Zambia
Matumizi ya dawa za kulevya yaongezeka katika vyuo vikuu vya Kenya
Wamarekani watoa maoni yao kuhusu hali ua uchumi
AI kugundua saratani ya matiti
Rais Trump asema anakaribia kufikia makubaliano ya kumaliza vita vya Ukraine
Idadi ya wanahabari wanaofariki au kujeruhiwa wakiwa kazini imeongezeka duniani
Serikali ya Sudani inayoungwa mkono na jeshi imesema haitatambua serikali nyingine
Rais wa Ukraine amesema yuko tayari kujiuzulu ili amani ipatikane
ZULIA JEKUNDU: ASAP Rocky asema amshukuru Mungu kwa kutopatikana na hatia
JARIDA LA WIKIENDI: Mjadala wa maadhimio ya mkutano wa Umoja wa Afrika
Makamu Rais wa Marekani JD Vance aonyesha mtazamo katika mkutano wa CPAC