KILIMO & DIGITAL BY SHOMBY

Karibu kwenye channel yetu!
Pata maarifa na mbinu za kisasa za kuboresha uzalishaji wa mazao yako. Hapa utajifunza matumizi sahihi ya mbolea, viuatilifu, na umwagiliaji bora kwa kilimo chenye tija. Jiunge na jamii yetu ya wakulima ili upate maarifa mapya kila wiki. Usisahau ku-SUBSCRIBES, ku-LIKE, ku-COMMENT, na ku-SHARE channel yetu ili familia yetu ya wakulima iendelee kukua.