KNOX STUDIOS

Sisi ni taasisi ya utengenezaji wa filamu kutoka Tanzania, tunayoamini katika nguvu ya hadithi za Kiafrika. Tunazalisha filamu bora zenye ubora wa kimataifa, zinazogusa hisia, kuelimisha, na kuburudisha.

Kupitia kamera zetu, tunasimulia maisha, ndoto na tamaduni zetu kwa ubunifu wa hali ya juu unaoonyesha sura halisi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

🎥 Tunachofanya:
🎬 Kutengeneza filamu za asili (original Tanzanian films)
🎞️ Kushirikiana na wasanii, waandishi na waongozaji wa filamu ndani na nje ya nchi
🎥 Kukuza ubunifu na hadithi zenye kuleta mabadiliko katika jamii

Jiunge nasi kwa kusubscribe ili kutazama filamu mpya, trela, na matukio nyuma ya kamera (behind the scenes).