Daruweshi ndauka tv
Duwa maharumu hiliyofanyika tarehe 4/10/2025 kumuombea mhe rais Hiliongozwa na daruweshi Duwa
Kisomo chakufungua ridhiki iliofungwa na majini pamoja na washirikina
Duwa maharumu ya kuliombea Taifa la Tanzania kuelekea katika uchaguzi ikisomwa na DARUWESHI DUWA
Asalam alaykum warahamatulahi wabarakatuh Leo tarehe 4/10/2025 nilifanya dua kwajili ya raisi wetu