AL IBAANA TV

💥HAPA NI SEHEMU SAHIHI KWAKO , UTAFAIDIKA NA :
-FATAWA ZA SHAREEF ABDUL-QAADIR AL-AHDAL.
-DARSA ZA FIQ-HI, SIIRA, TAWHIID NA KUFAHAMU MISINGI YA KUPATA ELIMU YA KISHERIA.
-KUJITAMBUA KI AFYA.
-KHUTBA NA MAWAIDHA MBALIMBALI.
-VISOMO VYA QUR-AN TUKUFU.


♻Karibuni nyoote..

📢Like , subscribe na share chanel yetu.

💎---ALIBAANA TV---☂️

📚🖊ELIMU NA MAARIFA🖊📚