Mwendokasi Tv
Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini.
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini.
Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake.
Kktokuingilia faragha ya mtu.
Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa.
Mwendokasi Tv "We Run Together "

Hii itakufurahisha ya Mbunge GAMBO kuelezea aliyoyafanya RAIS SAMIA kwa watu wa ARUSHA

A-Z TUNDU LISSU asimulia Kuwekwa Chumba Kwa waliohukumiwa KUNYONGWA “DEATH ROW” gerezani

Kwa MASKITIKO Makubwa LISSU asema “Nimenyimwa HAKI yangu ya Kuabudu kama Wengine GEREZANI”

Rais Samia Avunja Ukimya Uchumi wa Tanzania kupanda na Marekani na ulaya kushuka

LISSU Acharuka MAHAKAMANI,Awataja Mawakili 30 asema nina HAKI ya kudai

Shuhudia WAUMINI walivyokamatwa na Ma ASKARI baada ya kukaidi amri ya kuondoka

MABOMU ya Machozi yarindima kuwatawanya WAUMINI wa GWAJIMA barabarani

Tazama Mabishano ya POLISI na WAUMINI wa GWAJIMA baada ya kuzuiliwa

MABANGO yamebebwa na Waumini Wa GWAJIMA wakishinikiza Uhuru wa kuabudu

#breakingnews Polisi Watangaza waumini wa GWAJIMA kutawanyika ila wamegoma kuondoka

Tazama Waumini wa Kanisa la GWAJIMA la Ufufuo na Uzima wafanya maombi nje ya Kanisa

Mmh 🙌 TIWA SAVAGE alivyomsurprise DIAMOND jukwaani huko LONDON kabla ya kuimba AMKUMBATIA kwanza

Balaa la DIAMOND halitasahaulika LONDON ajaza ukumbi, TIWA SAVAGE na MR FLAVOR wapanda Stejini

KIBATALA Atoa ufafanuzi Mahakamani Kesi ya GWAJIMA asema Kanisa halikupaswa kufungwa

Maaskofu Wengi Wajitokeza kusikiliza kesi ya GWAJIMA Mahakamani leo hii Dodoma

BABA LEVO AFANYA KUFURU AIRPORT, MANGE KIMAMBI HAWEZI VITA NA MIMI AMTAJA MWIJAKU

MSAMA AWALIPUA VIONGOZI WA DINI WANAOINGILIA SIASA NA KUMSHUSHIA HESHIMA RAIS SAMIA

Rais Samia: Atupa Jiwe gizani Kwa watumishi wa Mungu Wanaojifanya wema kumbe USHETANI

Heche: Tunatoa Wito kwa SERIKALI kufungua haraka kanisa la GWAJIMA

Sheikh Mwaipopo Avunja Ukimya Sakata La GWAJIMA, Ahojiwe kwa kina kutoa maneno Magumu hivo

Mbunge Atoa Hoja ‘Kenge’ Wanaotukana Viongozi Mtandaoni Washughulikiwe

HECHE: Awajibu Wanaosema CHADEMA imegawanyika na Kuna MPASUKO ndani ya Chama

IBRAAH afika BASATA Sakata lake na HARMONIZE,Kufungiwa asifanye muziki

Kada wa G 55 amlipua LEMA kuwa alikuwa “FUKUZA FUKUZA” ndani ya CHADEMA

HECHE Awajibu CHADEMA G-55 "Wanasema Chama hiki kuna ubaguzi, unabaguliwaje? hawasemi

Mbunge WAITARA Akataa wanaoleta mambo ya USHOGA,Sisi Tutapambana nao

Kimenuka!! Sakata la SIMBA na YANGA hatuwezi kuingilia tumeachia Mamlaka za Mpira

“TUNDU LISSU aachiwe huru” Bunge la ulaya laomba

Rais Samia alivyofurahishwa na HARMONIZE kurudiana na KAJALA Leonardo ampa umbea

Steve Nyerere amjibu Heche Simba na Yanga kufutwa,Awavaa Viongozi wa Dini kuingilia Siasa.