PROMO ONLINE TV
Promo Online TV
This is an online TV which serves the purpose of sharing information on agribusiness, environment, natural resources and tourism, sports and entertainment.
About 60% of our TV programs focus on profiling, promoting, linking (market linkage) and improving visibility of agribusinesses’ products and services in the marketplace especially the small and medium agribusiness entrepreneurs in Tanzania.
Sahani ya chakula cha mwanao ISIKOSE makundi haya SITA ya #LISHE, utanishukuru baadae
Hizi hapa SIFA za mbegu mpya za MTAMA zilizofanyiwa utafiti na TARI Ilonga
Mambo ya kuzingatia wakati wa kusajili kikundi cha vijana/wanawake ili kupata mikopo ya halmashauri
Usianze kilimo cha #PARACHICHI-KIBIASHARA kabla ya kufanya mambo haya muhimu ili kuepuka hasara
Michapo ya Mkulima wa mtama na mafanikio baada ya kutumia mbegu zinazohimili mabadiliko ya tabianchi
Merry & Wild Ngorongoro yawahamasisha watalii wengi wa ndani kutembelea Ngorongoro Crater
"Tulichokitaka tumekipata" anasema mmoja wa watalii baada ya kutembelea Bonde la Ngorongoro
Maoni ya watalii waliotembelea Bonde la Ngorongoro kupitia Merry & Wild Ngorongoro 2024
Ziara ya utalii kutoka Dodoma kwenda Ngorongoro Crater, hapa simba pale wamasai wakiruka bila noma
DIY: Unataka kujenga kitalu nyumba (greenhouse) kwa gharama ndogo? hizi hapa hatua muhimu za kufuata
SAJILO WINE: Wataalamu wa kutengeneza WINE yenye ubora, kwa matumizi ya familia na sherehe
CHAVUA HURU: Kundi la mbegu za MTAMA zinazohimili mabadiliko ya tabianchi na kutoa mavuno mengi
FAIDA za MTAMA kiafya: Kula ugali, uji, togwa ya MTAMA kujikinga na kupunguza athari za KISUKARI
Mbengu za MTAMA za muda mfupi na zinazohimili mabadiliko ya tabianchi, wadudu, ndege na magonjwa
Mavuno mengi na bora kwenye zao la ALIZETI utayapata kama utafuata njia hizi tatu muhimu
Lima UFUTA kibiashara, fuata njia hizi 5 za kilimo cha UFUTA, utapata mavuno mengi na yenye ubora
Fahamu aina ya nywele zako na bidhaa ya kutunza nywele zako
Mtazame mwanamke jasiri ambaye ameamua kujikita katika kilimo cha kisasa
Mfahamu graduate wa chuo kikuu alivyoamua kujiajiri katika kilimo
Fahamu magonjwa yanayowasumbua Ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k
Ifahamu DK 831 ni mbegu ya mahindi inayostawi vizuri na kuleta mavuno bora
Mbegu ya Vitunguu aina ya Red Bombay
Jifunze ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa
Njia muhimu za kulima pilipili za rangi katika green house
Jinsi ya uandaaji wa unga bora wa sembe wa biashara
Jifunze jinsi ya kutunza bustani maua
Fahamu njia muhimu za ufugaji kuku wa mayai
Njia tano (5) za kitaalamu za kilimo cha UFUTA, ukizifuata utapata mavuno mengi na yenye ubora sana
Kilimobiashara: Fahamu umuhimu wa vijana kuwekeza kwenye kilimo cha michikichi, zao lenye faida