Mt. Lucia Ngarenaro

Wapendwa Taifa la Mungu Tumsifu Yesu Kristo! Huu ni Ukurasa Rasmi wa Kwaya ya Mtakatifu Lucia, Ngarenaro, maalumu kwa maudhui ya Uinjilishaji kupitia sanaa ya muziki mtakatifu, katika mfumo wa Sauti (Audio) na picha mjongeo (Video). Tunakualika uweze kusubscribe kwa madhumuni ya kuinjilika nasi na kupata taarifa mbalimbali za Kwaya ya Mtakatifu Lucia, kwa Urahisi na haraka zaidi!