Simulizi Na Sauti
Karibu Simulizi na Sauti kampuni ya maudhui mtandaoni inayotikisa Afrika
Ilianzishwa tarehe 31 Mei, 2017 na Fredrick Bundala, mwanahabari mashuhuri katika Afrika Mashariki, dhamira yetu ni kuwapatia watazamaji wetu maudhui ya ubora wa juu na yenye mvuto mkubwa.
Simulizi na Sauti ni mojawapo ya chaneli za YouTube zinazokua kwa kasi zaidi barani Afrika. Maudhui yetu yanagusa mada mbalimbali ikiwemo habari, burudani, maisha ya kila siku na mengineyo, na yanawasilishwa na timu ya waandishi na watangazaji wa kitaalamu.
Hapa Simulizi na Sauti, tunajivunia uandishi wetu wa uchambuzi na wa kuaminika, na tumejikita kuhakikisha tunawafikishia watazamaji wetu taarifa za karibuni na sahihi kabisa.
Ungana na mamilioni ya watazamaji ambao wameifanya Simulizi na Sauti kuwa chaneli ya tano inayoangaliwa zaidi kwenye YouTube nchini Tanzania (kipengele cha Habari na Burudani), na ujionee ubora wa maudhui ya mtandaoni.
Usisahau kubonyeza kitufe cha Subscribe ili uendelee kupata video zetu zote mpya!
Gigy Money amlipua vibaya Nandy kwa kibao kata alichofanya! yeye kutoalikwa | wana bifu? afunguka
Aliyekatwa uume na Mke wake, Amsamehe na kuomba msaada huu kuhusu matibabu yake
Watoto hawa wafungua Kesi Mahakamani kupinga marufuku ya mitandao ya kijamii
Paula awajibu wanaomsema kutofika mahamakani kumuona Niffer! kutosapoti biashara zake | Atoa jibu
Jay Melody atoa neno zito kesi ya NIFFER "Mwenyezi Mungu ni mjuzi zaidi tusiache kumuomba"
Asilimia 53 ya Watu wamepoteza Marafiki kwasababu ya kuwakopesha Pesa
Umaarufu wapunguza Miaka ya kuishi kwa Wanamuziki
Mwanamke aliyeua Watoto wake na kuwafungia kwenye Begi ahukumiwa Maisha Jela
MQ-9 Reaper, Drone ya Jeshi la anga la US yaanguka Baharini Korea Kusini, ina thamani ya Bil. 69
Mahakama yaamuru Rais wa zamani wa Brazil Bolsonaro aanze Kuutumikia Kifungo cha Miaka 27
50 Cent ashirikiana na Netflix kuyaanika madudu ya DIDDY, wathibitisha ujio wa filamu ya maovu yake
Kibatala aelezea kilichotokea Niffer na Mika kurudishwa Rumande, Wanajipanga upya kwa utetezi Dec 3
Waliochiwa kwenye kesi ya uhaini waelezea mazito yaliyowakuta! siku waliyokamatwa na kuwekwa ndani
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya waandishi kuhusu yote yaliyotokea na msimamo nchi
Mama wa Niffer aanguka na kuishiwa nguvu mahakamani baada ya mtoto wake kurudishwa gerezani
Niffer arudishwa gerezani baada ya kutoka kusikiliza kesi inayomkabili kwenye mahakama ya Kisutu
Kitu pekee Hassan Joho amefanya Mombasa ni kumleta Alikiba, hajafanya maendeleo yeyote kama Gavana
Tisa wakamatwa kufuatia wizi wa Mamilioni katika Gari la ATM
Waziri Mkuu: Wamelipwa, hawa wanaowalipa watazirudisha vipi hizi fedha? Tukiuana wao wanalipwa zaidi
Waziri Mkuu ataja idadi ya mali zilizochomwa kwenye machafuko ya uchaguzi ‘Ni hujuma ya kiuchumi’
Waziri Mkuu: Watu wasirahishe machafuko yaliyotokea, tusiingie kwenye mtego
Wataalamu wa Afya wanaonya kuwa kulala kwa Tumbo husababisha madhara makubwa ya Mgongo
Akutwa akiwa hai ndani ya Jeneza baada ya kugonga wakati ibada ya mazishi ikiendelea
Watu wafurika Mahakamani! Hatma kesi ya Uhaini ya Niffer na wenzake kujulikana leo
Burna Boy akamatiki, awaziba mdomo waliombeza kushindwa kujaza, aandika historia huko Dallas Texas
Inasikitisha! Amuua mtoto kwa kumtupa kwenye shimo la maji taka, Jeshi la polisi latoa taarifa hii
Rich Daimo msanii anayeishi ndoto za marehemu Sam Wa Ukweli! awataja P Square akielezea muziki wake
Baada ya Zuchu kufikisha Views Billion 1 YouTube! ameandika rekodi hii kubwa Barani Africa
Washtakiwa 104 waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya uhaini Dar na Mwanza waachiwa
Siri gani imejificha kwenye pete ya ndoa ya Nandy na Billnass? utata waibuka | majibu yote hapa