WAKILI TV
WAKILI TV, ni Television ya mtandaoni (Online TV) inayomilikiwa na Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), kwa lengo la kutumika kama njia ya kutolea elimu, muongozo na tafsri ya sheria kwa wananchi na wadau mbalimbali ili kuwapa uelewa wa sheria katika lugha nyepesi na kuifanya jamii iishi kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ya Tanzania.
Waziri Mkuu Aanika Sababu za Kutotaja Idadi ya Vifo Kipindi cha Uchaguzi
A-Z Majibu ya Waziri Mkuu Matukio ya Utekaji, Vifo Kipindi Cha Uchaguzi na Maandamano 9 Disemba
Mkichoma Zaidi Nchi Yenu Wao Ndo Wanalipwa Zaidi - Waziri Mkuu
Siku 175 Waumini wa Askofu Gwajima Bila Ibada, Serikali Ikilifungulia Kanisa
Watu Wote Wenye Kesi za Uhaini Zifutwe, Tusiwindane - Deus Kibamba
Mahojiano Maalum na Wakili wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) - Sehemu ya II
Vijana Walioandamana Walilipwa Kwanza Ndipo Wakaingia Barabarani - Rais Samia
Tunahitaji Uchunguzi wa Kisayansi na Siyo wa Kisiasa - Deus Kibamba
CHADEMA Yampinga Rais Samia Kuhusu Tume Huru ya Kuchunguza Matukio Oktoba 29
Kauli ya CCM Juu ya Maamuzi ya Rais Samia Tangu Aingie Madarakani
Yaliyotokea Nchini Kwetu Yametutia Doa, Yanaweza Kutupunguzia Sifa - Rais Samia
Mahojiano Maalum na Wakili wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) - Sehemu ya I
Hili Ndilo Baraza Jipya la Mawaziri la Rais Samia Suluhu Hassan
Wananchi wa Malamba Watoa ya Moyoni Juu ya Huduma ya Maji, Wadai Serikali Haijali Malalamiko Yao.
Tamko Rasmi la Baraza la Maaskofu Katoliki Kuhusu Mauaji Siku ya Uchaguzi
Rais Samia Atangaza Kuunda Tume ya Uchunguzi ya Mauaji.
Mwabukusi Azungumza kwa msisitizo "Kinachohitajika kwa Taifa Letu ni Haki, Ukweli na Uwajibikaji"
Tazama Spika wa Bunge Alivyopokea Ujumbe wa Uteuzi wa Waziri Mkuu Kutoka kwa Rais Samia.
"Hatutakubali kuwa Koloni la CCM Wala Mtu Yeyote kwa Jina la Kiongozi" John Heche
Tazama Hali ya Tundu Lissu Akipandishwa Kizimbani
Askofu Musomba Ahoji Waliolenga Risasi Watu Wakafa ni Nani na Tunawaangaliaje?
Majibu ya Wakili Matata Kwa Waandishi wa Habari Juu ya Watuhumiwa wa Kesi za Uchaguzi
Kilichoendelea Mahakamani Leo Kesi ya Niffer na Wenzake 21
Tamko la Mawakili TLS Juu ya Kesi Kipindi Cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 29
'Tulishauri Lakini Hatukusikilizwa' Askofu Shoo Afunguka Mazito Yaliyojiri Kipindi Cha Uchaguzi
Kilichojiri Mahakamani Kesi ya Heche Dhidi ya IGP
Sababu za Kiusalama Zaahirisha Kesi ya Tundu Lissu
Adhabu ya Kuandamana Si Kifo Cha Risasi - Askofu Ruwa'ichi
Wapo Wapi? Wakili TV Inawakaribisha Waliopotezana na Ndugu Zao Kipindi Hiki Tusaidiane Kuwatafuta
"Tusipotenda Haki Amani Haiwezi Kutawala Kamwe" Padri Chesco Msaga - Naibu Katibu Mkuu TEC