NYUMBANI FILAMU

Ni kampuni ya utengenezaji wa filamu inayojikita katika kuibua, kutengeneza na kusambaza maudhui ya kipekee yanayogusa maisha halisi ya watu. Kupitia filamu, vipindi vifupi na makala, tunasimulia simulizi zenye mguso wa kijamii, kisiasa, kitamaduni na kiroho — kutoka nyumbani, kwa ajili ya dunia.