KMD kimanga

KWAYA YA MT. DONBOSCO - KIMANGA
Ina huduma misa ya pili kila jumapili katika kanisa katoliki parokia ya Kristo Mchungaji mwema tabata Kimanga jimbo kuu la Dar es salaam.
Kwaya ya Mt Donbosco Kimanga ndio chimbuko na mlezi wa DONBOSCO MEDIA.
hivyo tembelea mitandao yetu ya kijamii ili uwe wa kwanza kupata taarifa mbalimbali za kwaya na kanisa kwa ujumla