Kinara Cha Spika

Kinara Cha Spika ni Jukwaa Maalum la Mtanzania Mzalendo Ndugu Dr.Kazungu Bakari Kazungu Kwa Ajili ya kutoa Maoni,HOTUBA Mbalimbali,Ukumbusho na Majadiliano Mbalimbali Ya Kisasa,Kiuchumi na Kiutamaduni Kwa Maslahi Mapana ya TAIFA letu la Tanzania.

Mawasiliano 0678398310

Makao Makuu Tanga Tanzania