AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA

HAPA tutakuelimisha juu ya mbinu bora za kilimo biashara,uongezaji thamani wa mazao na ufugaji ;tutakuunganisha na mtandao wa wakulima wazoefu, wafugaji,watunga sera,wasimamizi wa sera za kilimo/ufugaji pamoja na mtandao mkubwa wa masoko ya ndani na ya kimataifa.

KWA KUWA HATUWEZI KUTENGANISHA KILIMO NA MILA PAMOJA NA UTALII ;
Tutakufanya mtazamaji wetu ufanye utalii wa mila,desturi/tamaduni za makabila mbalimbali ya Kiafrika juu ya vyakula,mimea,wanyama,maua,mavazi,ngoma za asili za makabila mbalimbali, taratibu na mila za kuoa na kuolewa, sherehe ,dawa za asili ya Afrika nk kupitia computer yako/ simu yako ya kiganjani.
Kupitia program yetu ya AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA tutakupeleka mashambani, viwandani,kwenye mbuga za wanyama,ofisini kwa viongozi mashuhuri,maduka ya pembejeo za kilimo na zana za kilimo.

Tutatembea na kushiriki kwenye sherehe za Mila,mbuga za wanyama,jando nk.
Tutakufikia shambani na kukusaidia kukabiliana na changamoto huko huko.

SUBSCRIBE : @AJE-FARMS