Joyce Meyer Ministries Kiswahili
Karibu kwenye idhaa rasmi ya YouTube ya Joyce Meyer Ministries kwa lugha ya Kiswahili.
Joyce Meyer ni mojawapo wa waalimu halisi wa Bibilia ulimwenguni. Vitabu vyake vimewasaidia wengi kupata tumaini na urejesho katika Yesu Kristo. Yeye huongoza kipindi kwenye redio na televisheni " Enjoying Everyday Life" kinachoonyeshwa ulimwenguni kote.
Shauku ya Joyce kuwasaidia watu wanaoumia ndio msingi mkuu wa Hand of Hope, kitengo cha huduma kwa watu katika huduma ya Joyce Meyer. Huduma yetu kwa watu kote ulimwenguni inahusika na mipango ya lishe, matibabu, nyumba za mayatima na mipango ya kukumbana na biashara haramu ya binadamu.
Ikiwa una maswali yoyote kuhusu huduma ya Joyce Meyer, wasiliana nasi kupitia : [email protected]
Joyce Meyer Ministries KiSwahili
Kuishi kwa Ujasiri 1 💪🏽 Joyce Meyer
Ni Wakati Wa Kurekebisha Mtazamo Wako ⏲️ HUBIRI KAMILI
Kuharibu Mipango ya Shetani ⛓️💥 Joyce Meyer
Kataa Kusetwa na Maisha Yako ya Nyuma - HUBIRI KAMILI 🪤 Joyce Meyer
Sumu na Dawa za Nafsi 🧪 Joyce Meyer
Kamwe Hatupaswi Kukata tamaa - HUBIRI KAMILI 🚫 Joyce Meyer Ministries 1078
Nguvu ya Matamshi 3 👄 Joyce Meyer
Kusikia Sauti Ya Roho Mtakatifu - HUBIRI KAMILI 🌬️ Joyce Meyer
Nguvu ya Matamshi 2 🗣️ Joyce Meyer
Nguvu ya Matamshi 1 💬 Joyce Meyer
Nguvu iliyoingia Dosari - HUBIRI KAMILI 🦁 Joyce Meyer
Vita ni vya Bwana 🗡️ Joyce Meyer
Vizuizi katika kumtafuta Mungu 2 🛑 Joyce Meyer
Majaribu yanayotukabili kabla kuinuliwa - HUBIRI KAMILI 🪖 Joyce Meyer
Vizuizi katika kumtafuta Mungu 1 🪨 Joyce
Na Mimi Je❓ Joyce
Kuwa hatua moja mbele ya Ibilisi - HUBIRI KAMILI 🏃🏽 Joyce Meyer
Kujiamini 2 👏🏽 Joyce Meyer
Jinsi Imani Ifanyavyo Kazi - HUBIRI KAMILI 🙋🏽♀️ Joyce Meyer
Kujiamini 1 🤓 Joyce Meyer
Ushindi Dhidi ya Maisha Yako Ya Zamani - HUBIRI KAMILI ⌛ Joyce Meyer
Kujiona Mwenye Haki 🏅 Joyce Meyer
Mamlaka ya Muumini - HUBIRI KAMILI 👊🏽 Joyce Meyer
Sala ya Bwana 2 🙏🏽 Joyce Meyer
Sala ya Bwana 1 ✝️ Joyce Meyer
Vaa Haki ya Mungu 2 🛡️ Joyce Meyer
TIBA YA WASIOJIAMINI 🥺 Joyce Meyer
Ushindi Dhidi ya Upinzani 2 ⚔️ Joyce Meyer
Ushindi Dhidi ua Upinzani 1 🥷🏽 Joyce Meyer
Ni Wakati wa Kutoka Katikati ya Ua 2 👞 Joyce Meyer