ASH VISION MEDIA

🎬 Ash Vision Media
Ukweli, Imani na Maono

Ash Vision Media, tunakukaribisha kwenye jukwaa lenye maudhui ya kipekee yanayogusa moyo, yanayojenga imani na kuleta mwangaza wa kweli kwa maisha ya kila siku.

Kupitia channel hii, tunahudumu kama sauti ya kizazi – tukileta tafakari za kina, mafundisho sahihi ya Neno la Mungu, mahojiano yenye hekima, na matukio halisi ya kiroho na kijamii. Kila video ni maono, ni imani, na ni ukweli unaoishi.

Tunakuletea:
✨ Huduma za ibada na nyimbo za injili
✨ Mafundisho ya Biblia kwa ufasaha na utulivu
✨ Matukio mbalimbali yanayojiri katika jamii
✨ Viongozi wakizungumza na jamii
✨ Vipindi maalum vinavyochochea mabadiliko ya kiroho na kijamii


Kama unathamini maudhui yenye undani, yaliyojaa imani na maono mapana, basi hii ni sehemu yako.

📌 Subscribe Sasa na kuwasha alama ya kengele ujiunge nasi, ili uwe wa kwanza kufikiwa na maudhui mapya yenye kugusa maisha


---

Mawasiliano binafsi:
📱 Call & WhatsApp: 0626 351 170
📞 Namba mbadala: 0745 222 077