ELCT Cathedral Dodoma TV

Karibu katika Madhabahu hii ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Dodoma Usharika wa Kanisa Kuu. Tunakukaribisha sana kufuatilia IBADA, Semina za mafundisho ya Neno la Mungu na vipindi mbalimbali vya mafundisho, ili ukue kiIMANI. Ni matumaini yetu kuwa utawakaribisha na wengine. Mungu Akubariki Sana.