NTEMI TV

NTEMI TV ni channel ambayo inapatikana Africa mashaliki, ni channel itakayohusika na tamthiria ya Ntemi na tamthiria zingine na filamu kutoka kampuni ya kapayathegreat films pamoja na habari mbali mbali za wasanii wanaoshiriki kwenye tamthiria na filamu hizo, na maisha yao ndani na nje ya sanaa, kwa mawasiliano/+255 753 318 331/ +255 655 218 331/
Email [email protected]