Indie Films
Sisi ni watayarishaji wa filamu za Kiswahili zenye maudhui halisi ya maisha, burudani na elimu. Pia tunatoa huduma za video kwenye sherehe mbalimbali kama harusi, send-off, birthdays pamoja na makampuni (corporate events). Tunasema tunatunza kumbukumbu zako, Kila video ni hadithi. Jiunge nasi kushuhudia ubunifu wa kiafrika unaoelezea hadithi zetu halisi. Usisahau kusubscribe kutupata moja kwa moja #IndiefilmsTanzania #bongomovie #andikafilamu #andikascript