Naheka Production

Naheka Production (Naheka Pro) ni wataalamu wa Picha za aina zote, Yaani Picha mnato, picha mjongeo (video) na picha za kusafisha. Tunapatikana Mji wa Masasi mkoani Mtwara nchini Tanzania. Karibu sana kwa huduma bora

#highlights #wedding #birthdayparty #documentary #birthdaygathering #photography #video