EMMANUEL MGOGO Official Tz
Emmanuel Mgogo ni Muimbaji wa nyimbo za Injili, mtunzi, Mchungaji na Baba wa familia kutoka Tanzania. Ni muimbaji aliejulikana kwa watu na Kutambulika zaidi baada ya kutoa Album yake ya pili iliyokwenda kwa jina la “MSIKILIZE MUNGU”
Mpaka sasa Emmanuel Mgogo ana Album Nne (4) ambazo ni;
1. IKO WAPI NJIA
2. MSIKILIZE MUNGU
3. UMEKUSUDIWA NA MUNGU
4. USO WANGU pamoja na nyimbo zingine nyingi.
Miongoni mwa Nyimbo zake maarufu ni pamoja na MIMI NAPENDA,USO WANGU, KONGOLE YESU, NI WEWE TU, INUKA UANGAZE, WAACHE WAJE n.k
Hadhira inayomfuatilia imekuwa ikiongezeka kwa kasi zaidi tangu alipoweka rasmi nyimbo zake kwenye mtandao wa YouTube mnamo mwaka 2016
Mwaka 2023 alifungua kanisa linaloitwa SAA YA UFUNUO MATENGENGENEZO NA UREJESHO (SAUMU) lililopo GONGO la mboto Dar es salaam. Ni kanisa lililojaa NGUVU za MUNGU, na miujiza mingi.
Mungu azidi kuwabariki ninyi nyote mnaoendelea kufatilia, kuguswa na kuhudumiwa na huduma ya uimbaji kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgogo. Amen!
SIFA NA TABIA ZA MADHABAHU. By Pastor Emmanuel Mgogo ( Nabii- Mwimbaji)
MKRISTO NI TISHIO KWA SHETANI KAMA AKIJIWLEWA. By Pastor Emmanuel Mgogo.
NISIZAME NISHIKE BABA ( Official Audio).. By Pastor Emmanuel Mgogo.
MISINGI YA GEREZA ITATIKISWA KWA MAOMBI, Pastor Emmanuel Mgogo
Jumapili ya 1. CHANIKA.WATU WANAFUNGULIWA
SUNDAY 1 -- CHANIKA TUNACHANUA, # KUTANA na MUNGU .
USHUHHUDA WA HUYU MAMA UTAKUTOA MACHOZI. Hakika Hata sasa MUNGU anatenda kazi. By Pastor E.Mgogo
UGONJWA HUO SIO WA MAUTI, ..Pastor DIANA EMMANUEL
Pastor DIANA EMMANUEL. # MUNGU AJITUKUZE KUPITIA WEWE. ( 07695055337)
NJOO UONE UZURI WA YESU. ( Official video). Emmanuel Mgogo ( 0769505537).
SIO KAWAIDA YAKO, UMEFUGWA NA SHETANI WEWE. By Pastor Emmanuel Mgogo. Ibada-K.pili 14/9/2025.
OPERATION VUNJA MADHABAHU FUATILIZI ZA FAMILIA NA UKOO. By Pastor Emmanuel Mgogo.
KWENYE INJILI HUYU MGOGO NI HATARI🔥🔥, WACHAWI WALETA VITU VYAO NA KUFUNGULIWA.
USIONDOKE HARAKA NYUMBANI MWA MUNGU.By Pastor Emmanuel Mgogo.
UPAKO WA KUWAFUNGUA WALIOFUNGWA NIMEPEWA. By Pastor Emmanuel Mgogo.Call/msg : 0769505537
MAMLAKA YA KINYWA CHA MUNGU. By Pastor Emmanuel Mgogo
ALILOPANGA MUNGU KWAKO LAZIMA LITIMIE. By Pastor DIANA EMMANUEL
JITAMBUE KUPITIA NENO LA MUNGU, By Pastor Emmanuel Mgogo. (Wasap/ msg--0769505537).
WAAMBIE UKUBWA WA MUNGU WAKO.By Pastor DIANA EMMANUEL. Part 1.
NJIA ZA KUTOKA MAUTINI. --Day 3 Mkutano BARIADI. By Pastor Emmanuel Mgogo.
UKIWA MOTO🔥🔥, SHETANI ATAKUKIMBIA...Day 2 .. Mkutano BARIADI.Pastor Emmanuel Mgogo
UPAKO WA KUGEUZA JANGWA. Part 2.By Pastor DIANA EMMANUEL.( Wasap/ msg 0769505537)
UPAKO WA KUGEUZA JANGWA. Part 1. . By Pastor DIANA EMMANUEL. ( 0694617537)
KUWA NA YESU NI RAHAAA.By Pastor DIANA EMMANUEL.
USIONE AIBU KUMTANGAZA YESU.By Pastor DIANA EMMANUEL
WALIO NA MUNGU HUWA HAWAKWAMISHWI.By Pastor DIANA EMMANUEL.
HAUTALIA TENA, Baada ya kusikiliza Ibada hii. By Pastor Emmanuel Mgogo
HISTORIA HAINA MAANA BILA MUNGU.Yeye alikuwepo KABLA ya Historia kuwepo. By Pastor Emmanuel Mgogo
WALEE WATOTO KATIKA NJIA YA BWANA, Mbegu ya Mungu ndani Yao haitakufa
YOTE MAZURI ALIYOKUPANGIA MUNGU LAZIMA YATIMIE LEO. By Pastor Emmanuel Mgogo