MAGOTI TV

Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Kupitia somo hili utajifunza mambo mengi na ili uweze kumjua Mungu aliyekuumba na kumuishia yeye.
Somo hili likakubariki, likakujenge na kukutia moyo katika kila hatua ya maisha unayoipitia.

.....................................................................................................................................................................................................................

Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.

Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-

Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI

Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti

Tigopesa 0712626937 Veronica Kanick

CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI

Mungu akubariki sana.