KWAYA YA MT. YOHANE MBATIZAJI - BONYOKWA

Kwaya ya Mt. Yohane Mbatizaji ilianzishwa mnamo mwaka 2017 katika Kanisa Katoliki, PAROKIA YA MT. YOHANE MBATIZAJI - BONYOKWA, JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM.
Kwaya hii ilianzishwa na Vijana ikiwa na lengo la Kuinjilisha kwa nyimbo mbalimbali pamoja na kuhudumu katika Misa mbalimbali Parokiani hapa.

Tumefanikiwa kutoa Albamu moja inayoitwa "TAWALA KRISTO MFALME" yenye jumla ya nyimbo kumi zikiwa ni AUDIO pamoja na VIDEO baadhi zikiwemo; TAWALA KRISTO MFALME, TUMWIMBIE BWANA MUNGU WETU, JIPENI MOYO, TUJENGE KANISA LETU na nyinginezo. Pia tuna nyimbo mbalimbali tulizorekodi kwa nyakati tofauti tofauti kama; NI MZIMA, TUMTOLEE MUNGU VIPAJI, SEMA NENO, TUELEZE MARIA pamoja na MAMA TUOMBEE.

Tukiwa kama Wanakwaya lengo letu ni kumsifu na kumtukuza MUNGU kusudi ajulikane na kutukuzwa ulimwenguni pote.
SUBSCRIBE, COMMENT, LIKE, SHARE NA MUNGU ATAKUBARIKI.

KWA MAONI NA USHAURI
CALL/SMS/WHATSAPP || +255657646348/+255659144364
EMAIL || [email protected]