Cosmas Chidumule

Bwana Yesu asifiwe,
Ninapenda kukukaribisha Mahali hapa ili kuweza kubarikiwa na Nyimbo zangu,Kupitia Nyimbo hizi naamini utajengwa na kupata ujumbe ambao utainua maisha yako.
Mungu akubariki sana.