JERUSALEM FIRE CHURCH LIKONI
This is a church channel, where i will be posting church service sessions from our church in Likoni Mombasa kenya
Baba alipenda sana hii nmtu alimzawadia tu..ila alipenda sana
Mamukuli yalikua mazuri sana sherehe ilikua nzuri sana kwaukweli ilikua baraka ya kipekee jameni
Watu wakiendelea kukula na watoto wetu walendelea kuwapa vifungu maana hao walikua wamekula tayari
Wakati watu wanaendelea kukula cake 🎂 na kuandaliwa chakula watoto wetu nao wakaendelea kuwatumbiza
Hapa ndipo Rev John aliwa na akaongea kidogo akazawadiwa na akakata cake 🎂 na kulsha viongoz wenzake
Bada ya yote.tukalika pastor mango ambae n chairman wa mapastor wote.wa ujama akaendele na akaongoza
Pia tulitembelewa na mueshimiwa anaitwa mwanamke bomba ilikua ya baraka hii hafla
Ushuhuda ziliendelea huyu ni mama wetu pastor jentar Habeli na alishuhudua vizuri sana
Na kuna wale walishuhudia vile walikutana na Rev John na huyu nkiongozi walio tendewa
Kwaya ya wa mama wetu wa Jerusalem fire church Mungu awabariki sana muliimba vizuri sana
Hi ndio kwaya ya vjana wetu wa Jerusalem fire church the place of the holy spirit wliimba vzuri sana
Kwaya ya vijana wetu wa Jerusalem fire church the place of the holy spirit waliimba vizuri sana
Vijana wetu wa Jerusalem fire church kwaukweli walicheza vizuri sana na ilikua ya baraka sana tazama
Ikafika kipindi cha teenagers wetu wa Jerusalem fire church walitupea neno zuri na kucheza pia
Hawa watoto wetu walicheza vizuri sana wakati wa anniversary yetu tazama
Hii ni Sunday Group B walichiza vizuri sana kanisa nzima ikafurahi haki hebu tazama
Bado n Sunday shool Group A 2.ile ingine n Group A1 na waliendelia kutubwiza watu na watu walifurahi
Tulianza na wa toto wetu maana watoto nbaraka sana na walitufungulia anniversary yetu vizuri sana
Wageni walipo anza kuingia nayo shambura shambura za anniversary zikaanza tazama mtazamaji
Kanisa lilikua limeejaa sana na hafla ilikua iko karibu kuanza zile zingine zilikua ibada tu..
Worship na maombi ya kunyenyekea mbele za Mungu nae Mungu aliwabarik wote.walio nyenyekea mbele zake
Bada ya sifa Mungu akachilia Roho wa maombi na watu wengi walifunguliwa walio kua na vifungo vingi
Hii n sifa ya pili yani tulicheza sifa marambili na zote zilikua fire 🔥 sana kwaukweli anniversary
Ilikua ibada ya utukufu wa Mungu wa kipekee sio nyimba sio kunyenyekea Mungu alitubariki sana kwa hi
Hii sifa ilikua fire ya bada waah na ujue hapa n Sunday ya Anniversary hiii
Na kukawa na neno zuri sana kwa mtumishi wa Mungu pastor Gidioni 🙌 barikiwa zaid
Hii ni ibada iliyo iliyo anzia hapo tuliimba worship na maombi na watu walifunguliwa sana
Yalikua mahubiri mazuri ya morning Glory kabla ya Anniversary 🙌 n ilikua ya baraka sana