Kauleni TV

Hii ni chaneli ya burudani,elimu,michezo, sanaa, vikorombwezo, ucheshi na mahoka katika maisha yetu, uchumi wetu, utamaduni wetu, afya na siasa zetu .