Hapa Nilipo

Karibuni sana katika Channel yangu ya Hapa Nilipo. Kwa Jina naitwa Glory, Safari yetu ya Hapa nilipo ndio Imeanza. Naomba unipe mudawako mzuri wa kukuonyesha Marekani kulivyo. Nitafanya kila liwezekanalo with Gods help, nikuonyeshe kila engo ya Marekani.