Zion Revival Temple

Karibu sana Mtu wa Munga katika Kanisa la Zion Revival Temple ni kanisa la kizazi kipya linalojengwa juu ya Biblia na Roho Mtakatifu. Tunatangaza injili ya wokovu na uamsho kwa mataifa. Kauli mbiu yetu ni: “Kwanini unateseka wati Yesu Yupo!! ujumbe wa matumaini na wokovu kwa kila mtu. Kupitia maombi, mafundisho, na huduma za kijamii, tunaleta nuru ya Kristo kwa vizazi vipya.karibu ukutane na Nguvu za Mungu