Nukta TV

Nukta TV is an online television channel owned by the fast growing Tanzanian digital media and technology company, Nukta Africa. It is registered online content service provider by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) and it publishes daily news, features and exclusive interviews on business, technology, data, economy, education and special reports on any matter of public interests. It is a sister product of Nukta Habari (www.nukta.co.tz), a first Swahili data-driven news website.

Swahili
Nukta TV ni televisheni ya mtandaoni inayomilikiwa na kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa ya Tanzania. TV hii imesajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutoa maudhui mtandaoni huku ikijikita zaidi katika habari, makala na mahojiano mbalimbali kuhusu biashara, uchumi, elimu, utalii, teknolojia, takwimu na ripoti maalum zinazochunguza masuala yenye maslahi kwa umma. Nukta TV ni dada wa Nukta Habari, tovuti ya kwanza inayoangazia za habari za takwimu Tanzania.