Kelvin Kibenje

Karibu Kwenye channel ya Kelvin Kibenje.
Mfanyabiashara na mkufunzi wa Elimu ya Biashara na fedha.
Subscribe ili kupata mafunzo ya Biashara, fedha na Maisha kila siku yatakayokufanya kuwa bora na kukua kiuchumi.