EA DURUUS

Tunawaomba ndugu zetu wakistafidi na lolote lile kutoka kwenye channel yetu hii, basi watuombee sisi dua, na wazazi wetu, na masheikh zetu, na vipenzi vyetu, na waliosalia katika waislamu.