EL SHADDAI CHOIR DODOMA

"Mpeni Bwana, enyi wana wa Mungu … Mpeni Bwana utukufu kwa jina lake. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu" (Zab 29:1-2) Msifuni Bwana kwa kuwa Bwana ni mwema, liimbieni Jina lake, kwakuwa lapendeza.(Zaburi 135:3).